Welcome, Guest: Register On Nairaland / LOGIN! / Trending / Recent / New
Stats: 3,201,306 members, 7,977,970 topics. Date: Thursday, 17 October 2024 at 04:28 PM

Jinsi Ya Kushinda Mkeka Kila Siku Kwenye Beti - Sports - Nairaland

Nairaland Forum / Entertainment / Sports / Jinsi Ya Kushinda Mkeka Kila Siku Kwenye Beti (1119 Views)

Meridianbet Promo Code| Promo Code Ya Meridianbet 1109 / Promo Code Ya Pmbet Ni A84 / Senior Man Iheanacho. I See Ya Penarity Ooo. Gangsta (2) (3) (4)

(1) (Reply)

Jinsi Ya Kushinda Mkeka Kila Siku Kwenye Beti by Mashele(m): 12:52pm On Aug 03, 2022
Kubeti na kushinda
Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku







JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU
Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli nikuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi nakupata faida

Contents

1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU

2.1 ODS ZENYE NAFASI KUBWA YA KUSHINDA



1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU
ili uweze kubeti na kushinda mkeka wako nilazima uzingatie yafuatayo



1.1.0 Usibeti kiushabiki

Hakikisha hubeti mchezo kwakuwa tu wewe ni shabiki wa timu hiyo na kuipa ushindi kwakuwa unaipenda timu hiyo. Kufanya hivyo kutakufanya upoteze Mara nyingi



1.1.1 WEKA TIMU CHACHE DAU KUBWA

Hii ndio mbinu ya ushindi kwenye mkeka, kumbuka kadiri unavyoweka timu nyingi kwenye mkeka unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kupoteza beti yako. Nimuhimu kuchagua ods chache za uhakika na kubeti dau kubwa kuliko kuweka ods nyingi na na dau dogo kutegemea Kushinda fedha nyingi kwenye mkeka. Kufanya hivyo kutakufanya uwe unapoteza mkeka wako Mara kwa mara.

1.1.2 Chunguza mwenendo wa timu nivyema kuchunguza mwenendo wa timu katika mechi za karibuni matokeo yalikuwaje? Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje? He kikosi chatimu hiyo kwa siku husika kipoje? Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa?



1.1.3 Tuliza akili pale unapopoteza. Acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.



1.1.4 Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni. Japo sio za kuaminika Sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje.

Soma zaidi Hapa chini

https://www.masshele.com/2022/07/jinsi-ya-kubeti-na-kushinda-mara-nyingi.html

(1) (Reply)

Germany Vs Nigeria Live Match Update / Lets Predict The Score Line For The Super Eagles' World Cup Campaign / Messi Vs Kaka

(Go Up)

Sections: politics (1) business autos (1) jobs (1) career education (1) romance computers phones travel sports fashion health
religion celebs tv-movies music-radio literature webmasters programming techmarket

Links: (1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) (8) (9) (10)

Nairaland - Copyright © 2005 - 2024 Oluwaseun Osewa. All rights reserved. See How To Advertise. 10
Disclaimer: Every Nairaland member is solely responsible for anything that he/she posts or uploads on Nairaland.